STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Wape wanafunzi insha ambayo haina mtiririko mzuri wa mawazo |
wanafunzi insha ambayo haina mtiririko mzuri wa mawazo |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Kuwaongoza wanafunzi mmoja mmoja katika jozi na katika vikundi wayapange mawazo hayo ili yalete mtiririko wa mantiki. |
wanafunzi mmoja mmoja katika jozi na katika vikundi wayapange mawazo hayo ili yalete mtiririko wa mantiki. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Kwa kutumia insha hiyo, mwalimu atumie maswali na majibu kuwaongoza wanafunzi wabaini umbo la insha |
Wanafunzi wajadili umbo hilo kwa kutumia chati ya umbo la insha |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Kwa kutumia insha hiyo, mwalimu atumie maswali na majibu kuwaongoza wanafunzi wabaini umbo la insha |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |